-

@ BITCOINSAFARITZ
2025-04-23 20:59:52
Binance Meetup in Dar es Salaam, Tanzania
Kila mtu anazungumza kuhusu teknolojia ya Blockchain na Crypto – Je, zinamaanisha nini na unaweza kunufaika vipi na teknolojia hii? Ili kujibu maswali haya na mengine mengi, Binance imeandaa mkutano maalum jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Tunayo furaha kukualika kuhudhuria mkutano wa kipekee wa Binance:
📅 Jumamosi, Mei 3, 2025
📍 Ukumbi wa Four Points By Sheraton, Dar es Salaam.
🕒 Kuanzia saa 2:00 PM mchana.
Jisajili sasa ili kuhudhuria: https://meetup.binance.events/e/dar-es-salaam-meetup
Katika mkutano huu, utapata nafasi ya:
🔸 Kujifunza kuhusu utendaji kazi wa teknolojia ya blockchain na jinsi inavyobadilisha mfumo wa kifedha duniani.
🔸 Kukutana na walimu kutoka Binance na kupata majibu ya maswali yako kuhusu crypto.
🔸 Kushiriki katika mijadala ya wazi na kupata maarifa mapya kuhusu DeFi, P2P trading, na usalama wa mali zako za kidijitali.
🔸 Kujishindia zawadi za kipekee za Binance na kushiriki katika michezo ya kuburudisha.
Wote mnakaribishwa!
https://m.primal.net/QauR.jpg