-

@ BITCOINSAFARITZ
2025-04-23 05:07:46
Habari njema kutoka Tanzania!
Rose Dressing Shop, lililopo Mwanza, sasa rasmi wanakubali malipo kwa Bitcoin. Hii ni hatua kubwa katika kukumbatia teknolojia ya kifedha ya kisasa. Rose Dressing Shop ni duka maarufu linalojihusisha na uuzaji wa mavazi ya kike ya kisasa pamoja na bidhaa mbalimbali za urembo na mitindo.
Kupokea Bitcoin kama njia ya malipo kunawapa wateja uhuru zaidi wa kufanya manunuzi kwa njia rahisi, salama na ya kisasa. Tunapongeza uamuzi huu wa kibunifu na kuwatia moyo wafanyabiashara wengine kujiunga na mapinduzi haya ya fedha. Tembelea Rose Dressing Shop leo na lipa kwa Bitcoin kwa urahisi!
Rose Dressing shop wako live nostr:nprofile1qqsra2ey033mkdwl5w8q0jss9ak69zafh82xsuvhwsaauw3trkq2amgprpmhxue69uhkv6tvw3jhytnwdaehgu3wwa5kuef0qyghwumn8ghj7mn0wd68ytnhd9hx2tc7g996k
#BitcoinTanzania #BitcoinAdoption #BitcoinMwanza #WomenInBitcoin #DigitalPayments #MavaziYaKike #CryptoInAfrica #BitcoinIsFreedom #ShopWithBitcoin #BitcoinSafariTz
https://m.primal.net/QaFQ.jpg
https://m.primal.net/QaFR.jpg
https://m.primal.net/QaFS.jpg
https://m.primal.net/QaFT.jpg
https://m.primal.net/QaFU.jpg
https://m.primal.net/QaFV.jpg